Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Niende kama nani wake?Kwani ni kazi ngumu kiasi gani kwako wewe mwenyewe kwenda kushuhudia; hujui ofosi za Mafwele zilipo?, au hata nyumbani kwake huwezi kwenda kumshuhudia huko ujiridhishe?
Niende kama nani wake?Kwani ni kazi ngumu kiasi gani kwako wewe mwenyewe kwenda kushuhudia; hujui ofosi za Mafwele zilipo?, au hata nyumbani kwake huwezi kwenda kumshuhudia huko ujiridhishe?
Uko sahihi mkuuAisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Siyo "kama nani kwake". Bali kujiridhisha kuhusu asemayo Augustino.Niende kama nani wake?
Ni ile habari ya Mafwele kulawitiwa na makomandoo wa JW? Huu ni uongo wa mchana kweupe. Ni scam kama ile ya mkojo wa sungura! Na huenda ni TISS wanaeneza hizi habari kwa lengo maalum.Ingia group la chadema in blood
Mimi sipendi auwawe kwasababu utakuwa umempa adhabu ndogo kulingana na unyama alioufanya.Kitu ambacho sifurahii ni mtu kuuwawa. Pamoja na yote aliyofanya mafwele bado sifurahii kusikia ameuwawa/ameuliwa. Furaha yangu ni endapo atakamatwa iwe ndani au nje ya nchi na kufungwa
Ukifurahia mafwele kuuwawa unakua huna tofauti na waliofurahia wale vijana wetu kuuliwa
Nimecheka sana!! Etwege alifurahia sana kupigwa risasi Lissu kipindi cha jiwe! Leo anaamini Jiwe hakutendewa haki na akina Samia sasa kaungana kwa akina Lissu ili kuwakomoa akina Samia 🤣🤣🤣🤣Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Kwahiyo na video ya Augustino ni tiss.Ni ile habari ya Mafwele kulawitiwa na makomandoo wa JW? Huu ni uongo wa mchana kweupe. Ni scam kama ile ya mkojo wa sungura! Na huenda ni TISS wanaeneza hizi habari kwa lengo maalum.
HapanaNi kwa sababu hayajakukuta, kwa sababu ndugu yako hajatekwa au kupotezwa... au wewe mwenyewe sio muhanga..
Mbona hii ya Makonda haina ufanano na anachosema? Makonda hakuna kilichobadilika bado yuko kule kule kwa wauaji na bado ni muuaji. Huyu alikuwa anawabeza wapinzani na sasa amebadilika.Dunia ni sawa na gwaride nyuma geuka wa mbele anakuwa wa mwisho.
Makonda aliyeingia clouds na polisi wake amekuja kuwa waziri wa habari.
Huyu Augustino unatilia maanani anayosema? Du....Kwahiyo na video ya Augustino ni tiss.
Uuaji wa Makonda unaweza kuweka ushahidi hadharani?. Hizi tabia za kutuhumu watu zilileta majanga makubwa October 29 mwaka jana.Mbona hii ya Makonda haina ufanano na anachosema? Makonda hakuna kilichobadilika bado yuko kule kule kwa wauaji na bado ni muuaji. Huyu alikuwa anawabeza wapinzani na sasa amebadilika.
Huyu jamaa ni joka la kibisa. Pamoja na kumsikitikia sana na malidha aliyopata lakini naona kama something is very wrong na huyu jamaa.Huyu Afande Polepole hayuko serious kwa kweli.
Eti anasema jana alipita Kigamboni alipo mdogo wake Polepole,si angemchukua.
Halafu hivi inawezekanaje Polepole akawa bado yuko hai?
Lazima hao jamaa walishamuua.
I know you... Dumb dustbinUuaji wa Makonda unaweza kuweka ushahidi hadharani?. Hizi tabia za kutuhumu watu zilileta majanga makubwa October 29 mwaka jana.
Vijana waliokuwa wakisoma habari mbaya za kina JK na GSM wakaamua kuingia mtaani kuchoma mali zao, kumbe walifanya hayo kwa kuamini chuki walizolishwa na kina Mange kupitia instagram.
Fitina ukiitegemea lazima ije ikuumize wewe mwenyewe.
Hajauwawa wanasema eti wamemchana mbaoKwamba limafwele limeuwawa?
Mange aliwalengesha vijana wakaingia cha kike. Tusirudie tena kucheza michezo ya hatari.I know you... Dumb dustbin