Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Aiseeeeeeeeeee
ChaiHuko Club House Ruge anadai Jamaa wamemtoa MARINDA. Shughuli ilifanyika kwenye kambi mojawapo ya JW....!! Mliro alikuwa MTAZAMAJI .... ndiyo maana kaMUTE siku hizi!!
UongoHajauwawa wanasema eti wamemchana mbao
Mkuu... yule ni wa kuua siyo kulawitiwa. Au wamtoboe macho yote halafu wamwachie.Ungeweka ukweli ingekuwa vizuri zaidi.
It cannot. Mtu mwenye exposure upeo wake hauwezi kuwa mdogo kama wako.Nilikwenda Ulaya mwaka 1995 nikarudi 2003, nipo exposed kuliko unavyodhani.
Huyu ni lissu ulikua unampigia chapuo la kushinda uraisi ulikua unaanzish nyuzi kabisaLete ushahidi mahali nilipofurahia mtu katekwa na kuuawa!! Lete quote yangu ikionesha hayo vinginevyo unaleta habari za umbeya na uchimvi!
Ulaya ipi kwa akili hizi?Nilikwenda Ulaya mwaka 1995 nikarudi 2003, nipo exposed kuliko unavyodhani.
Unamaanisha Augustino ni mwongo?hao wote walishakufa
Ni kama wewe tu ulivyotimka Chadema baada ya ushindi wa Lissu na kuungana na watesi wake kumkomesha.Nimecheka sana!! Etwege alifurahia sana kupigwa risasi Lissu kipindi cha jiwe! Leo anaamini Jiwe hakutendewa haki na akina Samia sasa kaungana kwa akina Lissu ili kuwakomoa akina Samia 🤣🤣🤣🤣
Maisha ni safari ndefu sana isiyokua na likizo 🤣🤣🤣.
Kaka Dunia inamengi hii,Sasa Kwa mfano kaka yake Polepole anafaidika nini na mind game wakati mdogo wake kashikiliwa?
Hukuambulia chochote huko unakodai ulikwenda.Nilikwenda Ulaya mwaka 1995 nikarudi 2003, nipo exposed kuliko unavyodhani.
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake katamka kua ni Kanali,labda tufatilie zaidi.jeshi la wapi?
Sio kutekwa tu, huyu watakua wamemla na kichwa...hawawezi muacha haiHawez kujitokeza MAFWELE, AMETEKWA .
Mtu yeyote kwenda ulaya siyo hoja.It cannot. Mtu mwenye exposure upeo wake hauwezi kuwa mdogo kama wako.
Kwa zile damu walizomwaga unadhani watakuwa hai?Unamaanisha Augustino ni mwongo?
Nimeanza kuamini maneno ya Jaji Warioba aliyomwambia Samia alipokwenda ikulu kuwa ni hatari sana kuongoza nchi wakati vyombo vya usalama vimegawanvika !Kwanini asiseme yeye mwenyewe alichomfanya
Yeah. You make some sense. Ile damu ni nyingi kwa kweliKwa zile damu walizomwaga unadhani watakuwa hai?