Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Mkuu hii habari mbona naitafuta siipati, ni kweli kaliwa huyu jamaa ama uzushi?
Muhusika hajasema kama wamemla au hawajamla ametaka kokote aliko ajitokeze. Means bado yupo sehemu Fulani katulia zake.

Na hawezi kujitokeza kwa Sababu angekuwa wa kujitokeza angekwisha fanya hivyo tangu zamani kwa Sababu amesemwasemwa sana mitandaoni akishitumiwa kwa utekaji
 
Speculative analysis!

Kumbe Ile video.ya jamaa wa mask TFF walikua serious!!?

Sasa General mkunda alikua anachimba bit nani!?wajeda waliopo TFF au wasiojulikana waliodumu Kwa awam zote!!?

Je jeshi litagawanyika lianze kuzichapa kati ya wajeda watiifu wenye kuhusudu viongozi wanaokumbatia Teka teka dhidi ya wajeda was TFF wanaojiita wazalendo wa nchi kavu Tanganyika!?

Ina maana taasisi za kiusalama zimegawanyika sasa!!?

Je ndio maana madam Kila saa kule Tunguu!!?anaogopa uasi wa wajeda!?je sisi raia wa kawaida usalama wetu upoje!!?

Je huu ndio utu tuliohubiri kwenye kampeni!!?

Ina maana Tz yangu sio salama tena!?je watu wabaya wakiamua ku side upande wa tff kwa kuwapa silaha na backup kijeshi Hali itakuaje!!?

Mungu ibariki Tanzania,KAZI na utu ,na utu uonekane kweli kweli jamani!!
Mungu atukumbuke Tanganyika
 
Kusema lissu angepigwa risasi ungechinja mbuzi inahitaji nielewe nini zaidi ya hiko ulichoandika?
Hapa ulifurahia waliouliwa oct 29
View attachment 3546707
Ipo hivi. Hao vi DAMPA vya viongozi wakilamba uteuzi wanasifia. Wakitenguliwa Huwa wanakuja humu wakiwa akili zimewakaa vizuri. Hivyo usihangaike nae
 
Leteni hiyo video, huo utu wa kumuonea huruma Mafwele mmeutoa wapi?

Wekeni hapa tuangalie na sisi tuone amefanyiwa kama ambavyo wengine tungeweza kutaka afanyiwe au wamemtomasa tomasa tu.
😂😂😂😂😂😂
 
Nimecheka sana!! Etwege alifurahia sana kupigwa risasi Lissu kipindi cha jiwe! Leo anaamini Jiwe hakutendewa haki na akina Samia sasa kaungana kwa akina Lissu ili kuwakomoa akina Samia 🤣🤣🤣🤣

Maisha ni safari ndefu sana isiyokua na likizo 🤣🤣🤣.
Watu aina ya Etwege hawafai kabisa kuwa nao ktk chain, ni watu wa frusa wakiikosa hiyo hugeuka mbogo. Yani Leo anafurahia mafwele kuingia 18 za watu wkati miaka kadhaa iliyopita wao ndio waliowaasisi kina mafwele ili wawashughulikie wakosoaji wa jiwe.
Pumbafu kabisa!!!!!
 
Muhusika hajasema kama wamemla au hawajamla ametaka kokote aliko ajitokeze. Means bado yupo sehemu Fulani katulia zake.

Na hawezi kujitokeza kwa Sababu angekuwa wa kujitokeza angekwisha fanya hivyo tangu zamani kwa Sababu amesemwasemwa sana mitandaoni akishitumiwa kwa utekaji
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo...kwa kifupi mafwele ni mrevi kama walevi wengine...na vijiwe vyake vyote vilikuwa vinajulikana...! Yule jamaa alikuwa mbabe anae weza kujimwamba fai kuwa hakuna wakumfanya lolote...!

Siku hizi vijiwe vyote haonekani🤣🤣🤣 nadhani utakuwa umeelewa sasa...!​
 
Back
Top Bottom