Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Inasemekana Mafwele wamemtoa kinyesi, JW wamejikakamua. Polisi wote 'wale muhimu' wakae mkao wa kula.
Next target ni Abdul na Ridhiwani, wahuni mpaka wawale.
Ila jamaa ni kama alikuwa ameanza zile pigo za kuwadhalilisha JW.. na maneno ya kejeli kisa tu ana connection na wakubwa...

Alijisahau na kujaa sifa..
 
Mkiitwa Matahira mnaanza kukasirika.
Nyie wapumbavu eti huyu Geoffrey ndo akawadanganya kuwa yeye ni mwanajeshi wa NATO na mkaamini.
Nyie wapumbavu na Matahira msio na akili mnaamini kila jambo.
NATO ina jeshi toka lini?
View attachment 3546600
Hao ni kitengo ingine bibie,huyu alikua kitengo cha habari hawa "Press"
Ngomaa ikiimba,
hakuna cha msalie mtume ugali mtamu.
Chekeche ya AK 47 Ya Mrusi haijatumika ikipigwa pedal moja acha SMG, tutakukuta uko Tanga kwa mbio
 
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo...kwa kifupi mafwele ni mrevi kama walevi wengine...na vijiwe vyake vyote vilikuwa vinajulikana...! Yule jamaa alikuwa mbabe anae weza kujimwamba fai kuwa hakuna wakumfanya lolote...!

Siku hizi vijiwe vyote haonekani🤣🤣🤣 nadhani utakuwa umeelewa sasa...!​
Unavujua vijiwe vyake?
Vitaje hapa ili wanaokwenda huko walete ushuhuda sio unaandika mbaambaa za vijijini
 
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo...kwa kifupi mafwele ni mrevi kama walevi wengine...na vijiwe vyake vyote vilikuwa vinajulikana...! Yule jamaa alikuwa mbabe anae weza kujimwamba fai kuwa hakuna wakumfanya lolote...!

Siku hizi vijiwe vyote haonekani🤣🤣🤣 nadhani utakuwa umeelewa sasa...!​
Inatia moyo sana kusoma haya unayoyaeleza hapa.
Lakini tunachosoma humu ni ushahidi wa kimazingira tu; kwa nini tusipate hata ushahidi halisia mmoja tu? Kila mtu ataridhika akiona Mafwele ananyweshwa dawa chungu.

Kwa nini iwe vgigumu kuweka tu hata akiwa kashikiliwa tu, amedhibitiwa chini ya ulinzi. Hili nalo ni jambo gumu kulifanya?
 
Inasemekana Mafwele wamemtoa kinyesi, JW wamejikakamua. Polisi wote 'wale muhimu' wakae mkao wa kula.
Next target ni Abdul na Ridhiwani, wahuni mpaka wawale.
Mkuu sio kwamba ni wazush tu Fulani wameeneza hii ishu?

August Pole pole hajasema kitu kma hicho
 
Mkuu sio kwamba ni wazush tu Fulani wameeneza hii ishu?

August Pole pole hajasema kitu kma hicho
Hizo ni ndogondogo za chini ya carpet, hazijatoka kwa koloneli(colonel). Let's wait and see zitaendelea kutoka na tutajua mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom