Watu wanawachukulia poa sana TPDF,Hawa ni Monsters,ni Sheria TU,miibgozi na kanuni ndio zinawqpunguza nguvu,lkn wakiliamsha dude,watu watatamani kujificha kwenye vikombe vya kahawa.Kawachokonoa sana JW wameona wamtoe bikra, sasa wataanza kutembea kwa makundi kuogopa kupigwa paipu. Watu wana hasira hata IGP akijichanganya watamla vilevile, ishakuwa noma.
Tuone kama CDF ataweza kuwapoza wahuni ndani ya JW waliomua kufanya noma.
Hawa viumbe shughuli Yao ni pevu.
Polisi wetu ni vifaranga TU.
Wajeda wanawaita polisi ni Raia waliovaa uniform, civilians in uniforms