Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Huyu Afande Polepole hayuko serious kwa kweli.
Eti anasema jana alipita Kigamboni alipo mdogo wake Polepole,si angemchukua.
Halafu hivi inawezekanaje Polepole akawa bado yuko hai?
Lazima hao jamaa walishamuua.
Wabongo mnakuaga wajinga kiasi hiki unadhani ANAWEZA mchukua kirahisi ana nguvu za kufanya hayo na wewe unadhani ilo eneo ni simple TU kuingia?
 
Kutoka kuwa mtekaji na mfiraji hadi kufumuliwa marinda na kubakia kuvaa pampas kuzuia mimavi inayobubujika bila kizuizi dadeq
 
Uyu ndugu hatakiwi huwawa, anatakiwa kata kidole kimoja kimoja ili
1. Atwambie siri wapi walipo ndugu zetu waliotekwa
2 . Makaburi ya wahanga 29 Oct, yapo wapi linajua hili
 
FAKE NEWS
Ni FAKE Kweli, wanahangaika sana. Huku kwingine wanasema hivi;-

20260221_202954.jpg
 
Agustino arushe connection mambo kwa ushahidi..!!
Hata asiporusha kawaida ya polisi Kanda maalum wangekuwa tayari wametoa taarifa kukanusha .
Msemaji wa polisi David Misiime angekuwa ameisha kanusha.
Girishoni angekuwa ameisha kanusha, hivi Jumanne Muliro angekuwa kimya hadi sasa kama ingekuwa uongo?
 
Swali.

Kwani JF NZIMA HAKUNA ANAYE FANYA KAZI OFISI MOJA NA MAFWELE AONDOEE UTATA?

hata kwa kusema "MAFWELE ni mzima na yupo anachapa kazi"
 
Back
Top Bottom