macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Duanzi kabisa hili. Ni ile mijitu yenye mawazo mgando na inayoishi kwa kujikomba badala ya kufanya kazi kwa bidii.Mtu yeyote kwenda ulaya siyo hoja.
Kuna watu chungu nzima wamekwenda huko lakini hakuna chochote kilicho badilika katika uelewa wao wa mambo.
Huyu aliwahi kwenda kusoma Ukraine, tena kwa shida sana. Alichoambulia huko ni kuongeza tu uduni wa fikra zake alizokuwa nazo toka mwanzo..