Changamoto za Kivule tunahitaji mkazi wa Kivule au jimbo la kivule agombee, maana tumeteseka sana na barabara Banana- Kitunda - Kivule sababu ya mbunge kukaa mbali na eneo husika. Maana naona wengi wagombea wamekuja na si wakazi wa huko . Kutakuwa na kazi huko sababu ni jimbo lenye changamoto kubwa sana ya barabara. Mpambano ni mkali maana Lukolo naye yupo , Masaburi na wengineo. Ajipange maana muda mchache mambo ni mengi.