jimbo la kivule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukitembea Dar es salaam hii unakuta majimbo mengi yapo busy kujenga barabara za mitaa ila Jimbo la Kivule hamna kinachofanyika

    Katika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda. Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faustine Matiku achukua fomu ya kutia nia ubunge Kivule

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhandisi wa Mafuta na Petroli Fautine Matiku amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Temeke jijini Dar Es Salaam. Fomu hiyo ameichukua katika Ofisi ya CCM Ilala Dar Es Salaam
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Meya wa Ilala, Dougras Massaburi, afafanua kuhusu tetesi za kugombea Kivule na kutoa Wito kwa Wana-CCM

    Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini kwa sasa nguvu amezielekeza kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Soma...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa kuwania Ubunge

    Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kivule, mchuano unatajwa kuwa utakuwa mkali wa Jimbo jipya la Kivule huku jina la Dougras Didas Masaburi...
Back
Top Bottom