Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Katika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala na maeneo mengi hapa mjini ambayo siwezi kuyataja yote
Sasa shida inaweza kuwa nini? Ufinyu wa mapato, uongozi au awamu yake haijafika?
Sasa shida inaweza kuwa nini? Ufinyu wa mapato, uongozi au awamu yake haijafika?