Hivi kwanini ukitembea Dar es salaam hii unakuta majimbo mengi yapo busy kujenga barabara za mitaa ila Jimbo la Kivule hamna kinachofanyika

Hivi kwanini ukitembea Dar es salaam hii unakuta majimbo mengi yapo busy kujenga barabara za mitaa ila Jimbo la Kivule hamna kinachofanyika

Sana yani ukitembea maeneo mengi yana lami/zege swali najiuliza kwanini iwe temeke isiwe kivule shida ni utofauti wa mapato, uongozi au wanaenda kwa zamu kwahiyo zamu ya kivule bado?
Inashangaza..maana Temeke lami / zege hadi Barabara za mitaa lkn Kivule Barabara kuu hakuna lami. Sijui wanatumia kigezo gani!!
 
Wapi huko mkuu
Mitaa ya mafere nyuma ya mango garden na kinondoni bwawani kote zege tulipigiwa
Block41 nmeambiwa zege imepigwa tu nyuma airtel inakutana na road ya kwenda best bite
Mitaa ya ndani sijuwi kama itapigwa

Ova
 
Ukienda mbeya utarud kufuta uzi maana serikali imejitahid sana kujenga barabara nzuri ndo wanapenda tuseme ivi
 
Ipambane iwe wilaya ili kujitenga na Ilala
Kitunda, kivule,Msongola, Mbondole, kitonga, njia nne, mvuti.

Hii itachochea Kasi ya maendeleo tofauti na Sasa Hali ilovyo
 
Back
Top Bottom