Fax Services From TTCL

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
2,249
Reaction score
832
Za jioni wadau,
Leo nimepatwa na mshtuko na mshangao nilipokwenda TTCL kutuma fax kwenda Antwerp. Niliambiwa hakuna huduma hiyo kwa sababu mitambo mibovu.
Tunajinasibu kwenda mwendo kasi, na sasa hivi kwa sababu ya computer hackers huwezi kufanya biashara kwa email pekee, sana sana kama hii biashara ni mpya.
Sipati jibu kwa hili, Tanzania ya viwanda tutafantaje ujasiriamali.
 
NDO NCHI YETU ILIVYO MKUU.Ila mi naamini hadi kufikia hapo lilipofikia hilo shirika letu kuna baadhi ya watu wametuhujumu aidha kwa 10% au maslahi binafsi maana haiwezekani shirika lililofanya kazi vizuri tangia uongozi wa mwalimu liwe na hali hii licha ya ukongwe huo!
 
TUCHUKULIE MFANO; BAKHRESSA NDANI YA MFUPI KAPATA MARKET SHARE KUBWA LAKINI HAWEZI KUWAPIKU COCA NA PEPSI AMBAO NI WAKONGWE KWENYE BIASHARA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…