Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 832
Za jioni wadau,
Leo nimepatwa na mshtuko na mshangao nilipokwenda TTCL kutuma fax kwenda Antwerp. Niliambiwa hakuna huduma hiyo kwa sababu mitambo mibovu.
Tunajinasibu kwenda mwendo kasi, na sasa hivi kwa sababu ya computer hackers huwezi kufanya biashara kwa email pekee, sana sana kama hii biashara ni mpya.
Sipati jibu kwa hili, Tanzania ya viwanda tutafantaje ujasiriamali.