Na huu ujinga wako rudisha huko Fb
Hii sotory yako ungeachana nayo ukouko fb, sasa angali jf wanavyo kutolea mimateEti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
Mkuu, umenikumbusha tulikuwa na tv moja ya mkoloni ilikuwa aiwaki bila kuchapwa makofi!! [emoji1] [emoji1]Kofi la kichwa ndio zuri kurestore brain
Ukiwemo na wewe etiHuyo utakuta ni mwanamke kauliza ivyo.
Ata hapa jf atokee member wa kike aulize jinsi ya ku-like post utashangaa page zitakavyo kimbia kama Usain Bolt sasa uliza wewe mwanaume chochote utapata jibu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] zile tv za zaman zilikua na mawenge kuna moja bila kuipiga pale kwa juu haionyeshi rangi nzuri ilikua inaleta black and whiteMkuu, umenikumbusha tulikuwa na tv moja ya mkoloni ilikuwa aiwaki bila kuchapwa makofi!! [emoji1] [emoji1]
HahahahaKwahiyo ulikua mmoja wa wale 764. Hivyo nyote akili zenu zinafanana.
Ukiwemo na wewe eti
mkuu ni kweli kabisa hasa kule luv zone, jukwaa lao mimi lilinshangaza mno... kuna siku mpaka ikabidi niulize jamani mbona hii mada wadada wachangia sana kuliko nyuzi zote nilizo wahi kufungua na kusoma humu? tena nazani zilikuwa nyuzi za mtoto wa tandale diamond....
Jamaa jinga sana linataka kugeuza hapa facebookhahahahahahaha..... mkuu naona una jiandaa kufunga nae mwaka
Mashavu yepi? 454.Watu kama wewe ilibidi mpigwe makofi ya mashavu