Fb kuna watu wa ajabu sana, angalia huyu MTU alicho kifanya

Fb kuna watu wa ajabu sana, angalia huyu MTU alicho kifanya

Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
Hii sotory yako ungeachana nayo ukouko fb, sasa angali jf wanavyo kutolea mimate
 
Huyo utakuta ni mwanamke kauliza ivyo.

Ata hapa jf atokee member wa kike aulize jinsi ya ku-like post utashangaa page zitakavyo kimbia kama Usain Bolt sasa uliza wewe mwanaume chochote utapata jibu
Ukiwemo na wewe eti
 
Mkuu, umenikumbusha tulikuwa na tv moja ya mkoloni ilikuwa aiwaki bila kuchapwa makofi!! [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] zile tv za zaman zilikua na mawenge kuna moja bila kuipiga pale kwa juu haionyeshi rangi nzuri ilikua inaleta black and white
 
Waacheni vijana wa fb waburudike social network nikama burudani now days na kimekua ni kilevi
 
Ukiwemo na wewe eti

Hahaha wewe post zako ukitowaga zinasepa hasa mapage yanasoma 40 na hapo content ya uzi umeandika NIMEBANWA MKOJO

Hapo ndo napojiuliza hawa wanaume wa huku ni hopeless(sio wote) yaani kule kwenye nyuzi za magari na ma tech hata hakuna kinachojaa

Anyway no offense
 
Akili zako na za wale walio like na kukomenti hazina tofauti kabisa
 
mkuu ni kweli kabisa hasa kule luv zone, jukwaa lao mimi lilinshangaza mno... kuna siku mpaka ikabidi niulize jamani mbona hii mada wadada wachangia sana kuliko nyuzi zote nilizo wahi kufungua na kusoma humu? tena nazani zilikuwa nyuzi za mtoto wa tandale diamond....

Ndo ivyo tena hawa wanawake wanapenda watu wenye hela zao na huyo diamond alishawaambia ni vichupi kunuka wanamtaka ila sasa ni vichupi kunuka kama beberu

Sasa kila anapotokea dai ujue ni vita maana wanamtaka ila ndo ivyo tena wananuka kama wolper smell
 
Si mmalizie kumwelekeza mwenzenu, maana akili za fb mnazifahamu wenyewe.
 
Watu wame like ili watu wengine waone upuuzi uliouandika@ mi nakuona wew ndio mpuuz kushangaa
 
Back
Top Bottom