Fb kuna watu wa ajabu sana, angalia huyu MTU alicho kifanya

Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
Kwa kuleta hoja hii huku una tofauti gani na hao wa huko kwenu fb?
 
Agiza juisi ya Azam ya lita 1.Naona umemtega akaingia kwenye 18 zako halafu ukamlipua.
MTU analeta mada yao ya ajabu alafu anataka kutushirikisha kwenye ujinga. Alete mada za maana tuchangie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…