Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Kwa kuleta hoja hii huku una tofauti gani na hao wa huko kwenu fb?Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?