Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Sikua na maana mbaya mkuu nisingefanya hivyo naamini neno "WEKA PICHA" lisingekosekana vumila tu.Kwahiyo na wewe umeamua kututishia sisi hizi ngono? Hebu toa hayo matusi tafadhari!
Kuwa makini bro ukiona unapendwa sana na wanawake eti ujue inawezekaa ukawa na nyota ya Ukimwi so kaa nao mbali.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza:
Si mara ya kwanza ngozi nyeupe kuniomba urafiki baada ya kuwakulibalia wananitumia picha za ngono.
Jamani dunia imekwisha mtu haujazungumza nae kitu chochote unamtupia ujinga inakuaje.
Wa kwanza alivyoona namuuliza maswali mengi alijikausha kujibu, nikaamua kumfungia.
Mda huu nipo zangu online nakutana na ombi la urafiki...
Ni makahaba tu mkuu hawanipi shida.Kuwa makini bro ukiona unapendwa sana na wanawake eti ujue inawezekaa ukawa na nyota ya Ukimwi so kaa nao mbali.
Hahahahaha haina noma mzeeeyaNi makahaba tu mkuu hawanipi shida.
Mkuu kuwa makini sana kufungua link au videos from unknown sources, unaweza tumiwa virus ukawa unadukuliwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza: