Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza:
Si mara ya kwanza ngozi nyeupe kuniomba urafiki baada ya kuwakulibalia wananitumia picha za ngono.
Jamani dunia imekwisha mtu haujazungumza nae kitu chochote unamtupia ujinga inakuaje.
Wa kwanza alivyoona namuuliza maswali mengi alijikausha kujibu, nikaamua kumfungia.
Mda huu nipo zangu online nakutana na ombi la urafiki...