Imetokea Mitaa flan Dar.
afisa wa uhamiaji : we raia wa wap?
jamaa: yooh..wats up men...wats wrong witchu my nigger! cant speak swahili...yu know i came here with the my president some months ago and now am stuck here aint got no cash to take me back to my black american president...so what were you saying? in english please coz i cant speak swahili.
afisa wa uhamiaji akamgeukia mwenzie
" kumbe hu...yu jamaa ni Mkongo arudishwe Congo ..
jamaa: acha hizo wewe...ina maana huoni naongea kama mmarekani? we unaona naongea kikongo hapa? mbona unataka kunipeleka kwa bro Kabila wakati mi naongea kama mtu wa Unyamwezini? hata haucheck muvi za kimamtoni ukagundua lafudh yao?
kama mkitaka kunirudisha nirudishen marekani kwetu kama vipi niachen mi nisepe home Temeke mikoroshoni.