Wewe ni Sheikh Yahaya ?
Halafu jifunze Historia ndefu ya Russia kuvamia mataifa jirani zake.
Mkuu, I don't need somo lolote kuhusu historia ya Urusi wala Continental Europe - naijua vizuri sana tangu 1917 October revolution mpaka sasa, usifikiri waleta hoja hapa ni mambumbumbu kivile - najua lengo lako unataka kuzungumzia some former Soviet Republics ambazo zilikuwa korofi zinarihusu mataifa yao yatumiwe na western Nations notably the USA ili kuihujumu Urusi, wanapenyeza majasusi,wana-recruit insurgents wa ku-distabilize Russia,wanaruhusu USA ijenge maabara hatarishi yenye lengo la kuzalisha virusi,chemical agents kwa lengo la kuhatarisha maisha ya binadamu.
Mataifa tajwa hapo juu hayana hata shukrani za kuishukuru Urusi kuwakubalia kuwapatia uhuru bila shinikizo, upumbavu na njaa zao zinawafanya kutumiwa kirahisi na USA kuihujumu Urusi, sasa ulitegemea Urusi ingefanya nini ili kujihakikishia usalama wa Taifa lao - bottom line ni kwamba: licha ya propaganda za magharibi kuisema vibaya Urusi kuhusu hatua Urusi ilizochukua dhidi ya her former Soviet Republics lakini ukweli unabaki kwamba Russia hiko justified kwa hatua walizo chukua kuzidhibiti mataifa yaliyo kuwa yanatumika vibaya kuihujumu Urusi
- who can blame Russians?
Sasa tuje angle nyingine ili tuzungumzie mataifa mengine ambayo yanaongoza katika mauuaji,uvamizi na uharibifu mkubwa wa infrastructures nk, labda nikukumbushe kitu ambacho mataifa mengi upata kigugumizi kulizungumzia, bila shaka kutokana na woga - ni hivi mkuu: tangu USA ipate uhuru kwenye miaka ya late 1770s historia inaonyesha kwamba ndani ya miaka 400+ tangu USA ipate uhuru ni miaka 16 tu ambayo haikuhusika katika vita, uvamizi,kupindua Serikali zilizo chaguliwa kihalali, assassination-kumbuka yaliyo mkumba Patrice Lumumba na wenzake mapema kwenye miaka ya 1960s.
Bottom line is: tunapo shutumu au kulaani mataifa mengine kwa nguvu zetu zote ebu tujaribu ku-strike a balance na sio lawama tu mwanzo mwisho bila ya kuchunguza kwa kina nini kiini cha chanzo cha matatizo/migogoro, hapa na zungumzia Urusi na Uchina kuhusu their neighbors ambao wanatumiwa vibaya/instigated na western Nations specifically the USA kuhujumu Urusi na Uchina ili zisitawalike na ikiwezekana ku-fund colour revolution kwa lengo la kupindua Serikali halali hilo ndilo lilotokea huko Ukraine, sasa angalia kinacho endelea huko!!