ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Hata kama wataichukuwa Misikiti yote ya amerika hawataweza kuizuia dini ya Kiislam, Dini itabaki hivyo hivyo Dini inakuwa ndani ya imani za watu Misikiti ndipo mahali pa kuenda kufanya ibada
9.Surat At-Tawba
32. Wanataka kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu anakataa ila aitimize Nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia. 32
33. Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. 33
Wawakamate waliofanya makosa na waliohusika Sio kuichukuwa Misikiti, Misikiti ni mahali pa Waislam wanapofanyia ibada kuichukuwa Misikiti ni kama kuwakataza waislam wasifanye ibada zao watashindwa tu Na Mwenyeezi Mungu hawaongozi watu Madhalimu
Nakuunga mkono, lakini humohumo misikitini ndo walikamatwa wale watu wakifundishana jinsi ya kutengeneza mabom, na uongozi huohuo ulipiga kimya, kama unakumbuka lile sakata la yule jamaa alieuwawa last 2weeks.
,mpaka leo bado cjaelewa uhusiano wa ugaidi na uislam, yani kwanini waislam wamekua wakijihusisha na haya mambo ya kigaidi. hata kule bongo kama mnakumbuka mwembechai, walikua wakifundishwa karate na mbinu mbalimbali za kupigana msikitini. why is that, help pls....!