FBI wakamilisha taratibu za kuchukua misikiti minne na jengo la ofisi - Manhattan,USA

Zilikuwa ndo kwnza zinaingia hewani lakini ukifuatilia michango wana JF waliochangia unaona mwendelezo... Sidhani kama nimefanya kosa.... Mimi nilipata beep ya news nikasema ngoja niwashtue wadau.... Uwe na Amani!!!!
 
Yani umeenda kubeba mreport wa mwaka 2000? Duh!! Ambao idadi ya wachangiaji wake ni waislamu..I rest my case.

Hapa kama msikiti umetumika kusafishia hela za Iran wauchukue tuu maana ndio hizo hizo hela zinatumika kufadhili magaidi wanaolipua watoto na wanawake wa Somalia, Israel, Pakistan na kwingineko.

FYI in the 100+ majority ya population ya US itakuwa inaongozwa na Spanish Speaking People kumbuka hawa wengi wao ni wakatoliki.
 
So, what is your point?
 
Usiingilie topic kama hujui ilianzaje.

Hah, sasa unapandisha jazba.

Mimi nashangaa kwanini mnalilia kukaa nchi za watu, wakati nchi ya llah ambako ruksa hata kuchinjana mnaikimbia.

Misikiti ya mujahidina lazima ifungwe kufuri,
 
Hah, sasa unapandisha jazba.

Mimi nashangaa kwanini mnalilia kukaa nchi za watu, wakati nchi ya llah ambako ruksa hata kuchinjana mnaikimbia.

Misikiti ya mujahidina lazima ifungwe kufuri,
Nchi ya cha-wote hiyo ndugu ndiyo maana kila mtu anakaa...sasa jinyonge..misikiti watarudisha tu hizo ni kelele za mwanzo...after all wanaosali huko ni wazaliwa wamerakani si wakuja ..get your record right siyo unaleta chuki zako za kidini hapa..lol
 
Ondoa ondoa haraka hii thread tutawafungia haraka JF,hapa kwetu hamna cha ukabila rangi wala udini ondoeni haraka sana.
 
Tisha toto hiyo. Subiri uje uone na uone hakuna litakalofanywa.
Kwa vitisho tu nyie si tunawajua? kelele nyiiingi, ohh mara sisi ni majority mara ohh cha mtema kuni lakini hakuna lolote. Nyie ni wachache tu, tena wengi mko pwani pwani tu na zanzibar! Nimefanya utafiti wangu mkuu. Propaganda zenu zimepiga chini. Ndio sababu wakristo tukisema mahakama ya kadhi no inakuwa no kweli.
 
Huu mkakati unajulikana na umeshatayarishiwa dawa na zitabaki ni ndoto za allah katika miaka hiyo 100, Yesu bado atatawala. Hakuna mtu atakubali ibilisi akae madhabahuni pa Mungu. Unaelewa?
 
Huu mkakati unajulikana na umeshatayarishiwa dawa na zitabaki ni ndoto za allah katika miaka hiyo 100, Yesu bado atatawala. Hakuna mtu atakubali ibilisi akae madhabahuni pa Mungu. Unaelewa?
Kumbe na wewe ni mdini (kikristo) oh! karibu kwenye mjadala...wishes zako zitakuumiza sana ikiwa opposite itatokea ..btwn endelea kushabikia udini
 
Unajua wanasema after Communism kuanguka, sasa hivi vita ni kati ya West na Islam. Sasa angalia sasa hivi China ndiyo itakuwa superpower; halafu ndani ya China kuna Waislam more than 20 million. Je Uislam utashindwa hapo?Sasa hivi utaona nani atakaeshinda between Dini ya Mungu Uislam na Makafir. Marekani tayari keshasema wanampango wa Kusarenda. Sasa wewe na hasira zako kaa kimya uone matokeo.
 
Huu mkakati unajulikana na umeshatayarishiwa dawa na zitabaki ni ndoto za allah katika miaka hiyo 100, Yesu bado atatawala. Hakuna mtu atakubali ibilisi akae madhabahuni pa Mungu. Unaelewa?

Dawa yake nini? Holocaust against Muslim?
 
Ondoa ondoa haraka hii thread tutawafungia haraka JF,hapa kwetu hamna cha ukabila rangi wala udini ondoeni haraka sana.
watu wengine bana..unaangalia thread ambayo iko against na dini yako tu..utaondoa ngapi za wakristo wenzako?? angalia vizuri thread za kikrsto zilivyo ndio uje ..na hiyo hoja
 
watu wengine bana..unaangalia thread ambayo iko against na dini yako tu..utaondoa ngapi za wakristo wenzako?? angalia vizuri thread za kikrsto zilivyo ndio uje ..na hiyo hoja

Angalia jinsi wanavyo kifanya vibaya kitabu cha allah wako. Duh, hali imekuwa mbaya sana kwenu. lol
 
Angalia jinsi wanavyo kifanya vibaya kitabu cha allah wako. Duh, hali imekuwa mbaya sana kwenu. lol
Wanaudhi sana lakini wanamuudhi zaidi Mwenyezi Mungu...ndiyo maana kwangu mimi solution yake ni fight, fight, fight mpaka kila mtu aheshimu mwenzake na dini yake "I cant wait that from happenning"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…