FBI yaonya uwezekano wa Iran kufanya shambulio Marekani

Hofu Yangu isije tuu Marekani ikajifanyia unyambisi ili kujipa uhalali wa kumtwanga Ile ya moja kwa moja Iran
Ingawaje natamani ardhi ya Marekani nayo ilambwe kwa ulimi wa moto wa mabomu
In The US kuna wengi wanasema wanataka kujifanyia wenyewe ili kuwe na justifications za kuweka boots on the ground huko Iran, mpango ni kwamba zirushwe kutokea Mexico then waseme ni collaboration kati ya Iranian regime na Mexican Mafia gangs ili wawashe moto wa kinomanoma huko.
Kama yale ya Sept'11th baadhi wanavyodai iliwa crafted na wao wenyewe.
 
MAREKANI wameisha changanyikiwa kuanzia Rais wao mwehu mpaa .......
 
Hofu Yangu isije tuu Marekani ikajifanyia unyambisi ili kujipa uhalali wa kumtwanga Ile ya moja kwa moja Iran
Ingawaje natamani ardhi ya Marekani nayo ilambwe kwa ulimi wa moto wa mabomu
Mzungu yupo mbele ya muda, huyo Iran akitaka awahishiwe kifo chake basi afanye hiko kinachosemekana.
 
Punguza stori za vijiweni hakuna nchi yoyote duniani yenye huwezo wa kulinda anga kwa 100% lisishambuliwe hakuna tumeona kwa Urusi tumeona kwa Israel na system ya kulinda anga imekua inapewa na USA acha kudanganya watu Iran ikipata upenyo USA drone zinadodoka ndani ya USA
 
Hata sikuelewi umeandika nini? uwe unasoma kwanza kabla ya kujibu na sio kila kitu cha kujibu kama hukuelewa acha lipite.
 
Nimekuelewa ila umenielewa nilichokwambia kwamba nini atakipa Iran km akithubutu kutuma hizo drones kwenye ardhi ya U.S? Ingawa kimkakati hawezi hapo maelezo yamejitosheleza kabisa kabla hayarusha hizo drones atapokea kisago kitakatifu iwe funzo kwa wengine wenye tabia km za kwake, mimi sifurahii kinachotokea ila sifurahishwi na Iran pia maana anajijua ana uwezo mdogo ila anajitafutia matatizo yeye na dunia kwa ujumla, U.S hapigani vita ya hasara siku zote anatarget faida hii vita ina faida kubwa kwa U.S kuliko Iran, Iran anapata hasara mara dufu kuliko U.S pamoja na kiburi chake japokua anaona km U.S anapoteza ila sio hivyo anatuma drones nyingi za USD 20,000 ambazo zinatunguliwa kwa kombora la USD 2 Million haina maana U.S anaingia hasara km anavyofikiri
 
Uongo mwiiingiiii kujifanya mjuaji.
-Iran kuunda ICBM imeshaanza muda na jaribio la kwanza walirusha kwenye bahari ya Siberia kwa ruhusa ya Kremlin.Hivyo wala haitawachukua miaka kumi kama unavyodai.
-Iran kujijenga kwa air supremacy wala haitachukua muda maana ana contract na China kuhusu fighter jets na mafunzo ya fighter jets isipokua atakosa access ya anga kutoka hapo alipo na pia kukosa kwake aircratf carrier pia kutamuwia ngumu.

Kiufupi Iran ana uwezo wa kumpiga USA na USA ikasimama na kushindwa kushambulia.
USA haina ADS za kuzuia hypersonic missiles.
Na USA hana endurance wala resilience ya kuhimili pale atakaposhambuliwa kwake.
Mind you Iran akikamilisha hilo kombora la ICBM ataichapa USA Washington DC pasi na uoga.
Na kwa resilience ya IRAN hatoogopa hata kidogo huyo USA akijaribu kulipiza.
Maana labda kama atatumia nuke hata hivyo Iran wanaunda nuke sasa hivi kwa mujibu wa ripoti zao.

Magazeti yako hayana umuhimu.
 
Kama Iran kupewa kisago ingeanza kupewa kisago ilipoua mabalozi wa USA Saudia na Bahrain na Kuwait.
Kitu ambacho mnachotaka kuaminisha watu ni kuwa USA ni nchi ya ku prevail siku zote kitu ambacho ni UONGO.

Iran hadi kufikia hapa ni nchi iliyoonesha SUPRISE NYINGI SANA.
Na kama ikatokea Iran akaishambulia directly USA labda USA atumie Nuclear laa sivyo kitamkuta kama kitakachomkuta ISRAEL sasa hivi.
Wale watu wana endurance na resilience katika vita.
Utegemee Iran ana hypersonic ya 20000km range zinazofika maelfu halafu eti asujudu kwa USA??
Never mzee NEVER BIG NO.
Itakua kama Israel tu akishambulia na yeye anashambuliwa.
Labda wasimruhusu aunde ICBM kikamilifu,ila likikamilika USA ijitizame mara mbili mbili.
 
Kwa maelezo yako ni kama Iran ndio kaanza kushambulia. Wewe ulitaka vipi apigwe akae kimya au? sasa nani kila siku yuko kwenye press kupiga kelele. Huyo Trump wenzake tu hawajui anataka nini. Hivi vitisho havina faida nimekwambia Newyork ilipigwa na walifanya nini Afghanstan? mwisho wa siku walikimbia wenyewe Taliban anatawala. Tutajie vita yoyote USA kama yeye alishinda peke yake. Watu hawaogopi vitisho atapiga nini raia au? Unasema hapati hasara anaokota hayo mabomu.
 
Twende taratibu

Emu tulia kwenye kiti kisha soma

Katika vita yoyote, hasara huwa ni ya pande zote mbili, lakini aina ya hasara hutofautiana kulingana na nguvu ya kijeshi na hali ya kiuchumi ya kila nchi. Kulingana na hali ya sasa (Machi 2026), huu hapa ni uchambuzi wa nani anapoteza nini:
1. Hasara kwa Upande wa Iran (Hasara ya Moja kwa Moja na ya Kimfumo)
Iran ndiyo inayobeba mzigo mkubwa zaidi wa uharibifu wa ndani na kijamii kutokana na mashambulizi yanayofanyika katika ardhi yake.
* Viongozi na Miundombinu: Mashambulizi ya hivi karibuni (Februari/Machi 2026) yamesababisha vifo vya viongozi wakuu, akiwemo Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei. Pia, miundombinu ya nyuklia na kijeshi imeharibiwa vibaya.
* Vifo vya Watu: Idadi ya vifo nchini Iran ni kubwa zaidi, ikikadiria zaidi ya watu 1,200 waliouawa na maelfu kujeruhiwa, huku mamilioni ya raia wakihama makazi yao.
* Uchumi wa Ndani: Kufungwa kwa Mlango-bahari wa Hormuz kumepunguza uwezo wa Iran kuuza mafuta yake mwenyewe, jambo linalozidisha mfumuko wa bei na uhaba wa bidhaa muhimu nchini humo.
2. Hasara kwa Upande wa Marekani (Hasara ya Kiuchumi na Kimkakati)
Ingawa Marekani haishambuliwi moja kwa moja kwenye ardhi yake, inapata hasara kubwa ya fedha na ushawishi.
* Gharama za Vita: Pentagon inakadiria kuwa vita hii inagharimu Marekani kati ya Dola milioni 890 hadi bilioni 1 kwa siku. Katika siku sita za kwanza pekee, walitumia zaidi ya Dola bilioni 11.
* Uchumi wa Dunia: Bei ya mafuta imepanda hadi kufikia zaidi ya Dola 100 kwa pipa, jambo linalosababisha kupanda kwa gharama za maisha nchini Marekani na duniani kote. Soko la hisa la Marekani limekuwa likiyumba kutokana na hofu ya wawekezaji.
* Wanajeshi na Kambi: Wanajeshi wa Marekani walioko kwenye kambi za Mashariki ya Kati (kama Qatar, Bahrain, na Kuwait) wamekuwa shabaha ya makombora ya Iran, na kusababisha vifo na majeraha kwa askari kadhaa.
Muhtasari wa Hasara
| Aina ya Hasara | Iran | Marekani |
|---|---|---|
| Vifo/Majeruhi | Juu sana (Raia na Wanajeshi) | Chini (Wanajeshi pekee) |
| Miundombinu | Uharibifu mkubwa wa ndani | Uharibifu wa kambi za nje |
| Uchumi | Kuporomoka kwa mfumo wa ndani | Mfumuko wa bei na gharama kubwa za vita |
| Siasa | Hatari ya kupoteza utawala (Regime Change) | Shinikizo la kisiasa nyumbani kutokana na gharama |
Nani anapata hasara zaidi?
Kijeshi na kibinadamu, Iran inapata hasara kubwa zaidi kwa sababu vita inapiganwa ndani ya mipaka yake. Hata hivyo, kiuchumi na kimkakati, Marekani inapoteza utulivu wa soko la dunia na mabilioni ya dola ambayo yangeweza kutumika kwa maendeleo ya ndani.

Nadhani tunaelewana hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…