FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hawa jamaa second half inabidi tuwanyee kimoja cha pili dakika za mwanzo kabisa...
 
Ila Barca ni timu ya vipaji. Wanaokoa mpira kwa ufundi wa hali ya juu bila wasiwasi wowote.

SIMBA No3 na Point 35 mnunue CD za Barca kwa wingi wala msione aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…