FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dk 70

Porto 3 - 1 Bayern

Leo mechi zote mbili ni vita ya makocha waliokipiga timu moja (Barca) miaka hiyo
 
suarez katika ubora wake. huwa kama hayupo uwanjani vile...

Yaani kama Leo alikuwa haonekani kabisa ukitoa ile miss katika kipindi cha kwanza, halafu jamaa lina nguvu balaa limepangua ntu nne.......
 
Yaani kama Leo alikuwa haonekani kabisa ukitoa ile miss katika kipindi cha kwanza, halafu jamaa lina nguvu balaa limepangua ntu nne.......

unaona wachezaji wa amerika kusini walivyo. wanatumia akili sana kwa wakati mwafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…