FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ahsante aleyn hapo ndipo ninapo ku respect fan wa kweli ni yule anaejiamini big up baba!!!:teeth::teeth::teeth::teeth:

-Kuwepo kwa Suarez kunaiba Barca matumaini makubwa sana.
-Mbaya zaidi wanaanzia kwetu, kwahiyo mbinu tuitumiayo J4 ni kupata ushindi usiopungua 2-0 kisha kwao tukamalize mchezo.
-Messi, Suarez na Neymar hawawezi wakakosa Goli kule Munich.
-Msimu ule walituotea tukiwa na majeruhi kwa Beki pamoja na Messi ila safari hii kila Idara tuko njema.
 
ila yule thomas muller yule katoto kabaya sana yeye na lawondoski kila gem lazima wascore na wee unajya beki zetu pale mtu ambaye anajitahidi ni mascherano pique hua anasababisha faulu za kijinga ila kwa upande wa kushoto namuaminia jordi alba na mii naona hata si mbaya kocha akimunzisha jiremy mathieu kipindi cha kwanza yule jamaa mrefu atatusaidia kwenye mipira ya kona
 
kwenye la liga tumebakiwa na gem 3 tu ligi kuisha katika hizo gem 1 ndio ngumu ni ya atletico madrid na mbaya zaid tuko away wao hio gem haina umuhimu sana tayari washa ingia top 4 ila wanaweza kutukamia gemu inayofata ni real sociaded na itapigwa jumamosi ijayo camp nou na baada hapo ni ya atletico ndio hiyo ngumu ila katika gem tatu zilizo bakia tukishinda 2 na tukatoa drow na atletico ubingwa wetu kwa wingi wa magoli
 
huu sio ukurasa wa kushindana nani ana hart trick ngapi hili ni jukwaa la barcelone usituletee upuuzi wako hapa we PAGAN
 

-Mascherano ataanza ktk hii Game.
-Lewandosk hayupo kwahiyo inatupa nafasi beki zetu walau kutulia harafu Lewandosk sio mkali kiviiile akicheza dhidi ya timu kubwa, alikuwa anafanya makubwa akiwa Dortmund.
-Muller anakabidhiwa kwa Sergio Busquets, Bastian umri umeenda na huwa hakimbizi,viungo wengi wa Bayern hawawezi kuchana kati kama ilivyo Modric au James kwahiyo Rakitic na Iniesta sitegemei kama watapotezwa kati ukizingatia tupo Camp Nou, uwanja ambao bila Majeruhi hakuna mtu anaeweza kutoka pale, HAKUNA.
 

Daaah, hii ya Atletico, Game ingepigwa Camp Nou tungekuwa na uhakika.
 
Daaah, hii ya Atletico, Game ingepigwa Camp Nou tungekuwa na uhakika.
ila hawa atletico nao pia ni anti madridista utakumbuka ushindi wao wa mwaka jana waliupata pale camp nou baada ya sisi kuona mwelekeo wa kuchukua ubwinga haupo tena gem yetu na wao timu haikucheza kwa kiwango chake yote ni kumfagilia alibebe yeye kuliko r.madrid ilikua ni gem ya mwisho kama sikosei pale camp nou mwaka jana baada mpira kuisha mashabiki wa barca waliwapongeza kwa kuwapigia makofi kwa ajili ya ushindi wanaweza na wao hilo kuliona ila sisi barca tunaenda kuwapiga kule kule kwao hata wafanyeje na tena wana chuki na sisi manaake tuliwatoa katika nusu final ya copa del rey kwa iyo watataka watuonyeshe ila hawatoki
 

Hapa cha msingi kingine ni kumuombea Real atoe droo au apigwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…