Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Barca yetu kuna mtu anairoga,sio bure😠😠
Barca yetu kuna mtu anairoga,sio bure[emoji34][emoji34]
kuna watu pale barca ni useless kabsa.Naamini tulikurupuka sana kumwachia Suarez. Yani dogo Fati ndo mkombozi wetu sasahivi.Tatizo la barca ni uendeshaji.
Tunataka kuwa kama Madrid kwenye uendeshaji.
Tunataka kuwa klabu ya kununua na kuuza na sio kuwekeza kwenye la masia kama zamani.
kuna watu pale barca ni useless kabsa.Naamini tulikurupuka sana kumwachia Suarez. Yani dogo Fati ndo mkombozi wetu sasahivi.
#get well soon ansu
Naamini sana watoto wetu akina Puig,Araujo,Fati, nk nk nk,tofauti na akina dembele wanaokula mshahara bure😠Sio suarez tu
Kuanzia alvez
Arthur
Tobido huku na huko
Naamini sana watoto wetu akina Puig,Araujo,Fati, nk nk nk,tofauti na akina dembele wanaokula mshahara bure[emoji34]
Kabsa mkuu.Yani kurugenzi yote ya barca inaona madogo kama bado kumbe ndo future ta barca yetu.Hebu angalia treatment yao sasa pale klabuni
Barca haiwaonyeshi kama wao ni future ya klabu
Yan inawapeleka tu
Watu wanao fahamu matatizo ya ndani ya barca wamekataa kufanya kazi barca
Akina puyol na Valdez
kabisa kabisa yaan nilishangaa eti suarez hatakiwi barca kituko cha mwaka kabisaaakuna watu pale barca ni useless kabsa.Naamini tulikurupuka sana kumwachia Suarez. Yani dogo Fati ndo mkombozi wetu sasahivi.
#get well soon ansu
Kuna nn mkuu tena?humu ndani mmevung sana asee 😂