FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Shida ni Koeman, huwezi kuanza kila siku na kina Pique, Busi na S.Roberto.

Wale vijana Nico na Gavi weekend walipiga mpira mwingi sana bila kumsahau Puig, leo unawaweka bench, jinga kabisa.
 
Shida ni Koeman, huwezi kuanza kila siku na kina Pique, Busi na S.Roberto.

Wale vijana Nico na Gavi weekend walipiga mpira mwingi sana bila kumsahau Puig, leo unawaweka bench, jinga kabisa.
Nilishasema humu, Koeman aondolewe. Huwezi kua unapanga kikosi kipya kila mechi. Hiyo chemistry ya team utaijenga vipi?
 
Dah imekua team ya kuonea huruma, sio kuchekwa tena. Poleni sana ndugu zetu
 
Huu uzi wenu ni bora ufutwe tu au uondolewe kwenye sticky threads
 
yaaan hili litimu lilivyo libovu hata aje nani sijui Xavi sijui nani linakuwa kama limtego la kuharibu CV za watu hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kocha ndio hovyo timu nyingi tu zina wachezaji average lakini wanafanya vizuri angalia wachezaji wa Liverpool ni was kawaida ila kocha ndio yupo vizuri.
 
Mpira tunatawala sana, kufunga sasa ndio mtihani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Riqui kwanini haingizwi, anajua ku-force sana yule chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…