Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Asante kwa kutuandikia. Tupo kwenye hatua za mwisho kabisa kutimiza maoni yako. Haiwezekani mkawa na goal difference ya 4 kipindi kama hiki. Heri fedheha kuliko lawama.Mods futeni huu uzi.
Hapana hawakuchezaBarca walicheza ucl!?
MODS kwan munafanya kazi gani? futeni huu uzi hauna maana tena unajaza sever tu.
Kuripoti kwa nani?Ina maana mashabiki WA Barca wameshindwa kuripoti ujio WA kocha mpya xavi?
Ina maana mashabiki WA Barca wameshindwa kuripoti ujio WA kocha mpya xavi?
Mashabiki wa barca tupo.Wamehamia PSG
Guardiola kipindi anapewa Barca watu walisem hvy hvy ujiuliz kwnn timu nying sana kwasas duniani zinatumia legends kama makocha wao sbb wanajua falsafa za timu Barcelona kwa falsafa zetu hakuna kocha aliye sokoni then legends ni wazuri kwa kutengeneza projects sbb wanajua timu inaenda wapi inataka nini na inatafuta niniLegends sio wa kuwaamini sana.......Xavi anaweza feli pia
HV koeman cyo legend wa barca??Guardiola kipindi anapewa Barca watu walisem hvy hvy ujiuliz kwnn timu nying sana kwasas duniani zinatumia legends kama makocha wao sbb wanajua falsafa za timu Barcelona kwa falsafa zetu hakuna kocha aliye sokoni then legends ni wazuri kwa kutengeneza projects sbb wanajua timu inaenda wapi inataka nini na inatafuta nini
Timu nyingi zinatumia legends ila ni failed projects Zizzou mara ya pili madrid ni failed project, Arteta, lampard, solskjaer, Gattuso pale millan, kenny darglish liverpool, wengi ni failed projects.....Nje ya guardiola ni nani aliefanikiwa mkuu? au Koeman si legend wenu? .....Guardiola kipindi anapewa Barca watu walisem hvy hvy ujiuliz kwnn timu nying sana kwasas duniani zinatumia legends kama makocha wao sbb wanajua falsafa za timu Barcelona kwa falsafa zetu hakuna kocha aliye sokoni then legends ni wazuri kwa kutengeneza projects sbb wanajua timu inaenda wapi inataka nini na inatafuta nini
Anatuletea timu ya holandHV koeman cyo legend wa barca??
We mpumbavu kweli unajua anachokifanya xavi kwa sasa.Naona nyie takataka mmeleta xavi mkaona haitoshi mmeleta na Dani alves mnadhani ukocha ni kucheza makinda makinda[emoji1787][emoji1787]
Wewe wapi wewe jiandaeni kukandwa haswa.We mpumbavu kweli unajua anachokifanya xavi kwa sasa.
Xavi ana restore our beloved cruyff philosophy ana restore our DNA.
Nenda youtube kacheki training session za barca under Xavi uone jinsi training intensity yetu ilivyoongezeka.
Japo itamchukua mda timu kukaa sawa but barca itarudi tu kuwa timu tishio.
Hater kaa kwa kutulia.