Nakumbuka hii game kuna jamaa tulibishana mpaka koo likanikauka namuelewesha mmebebwa haelewi leo zamu yao..Nakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani
Una hali gani huko ulipo? [emoji1787][emoji1787]Hii game tupambane tushinde.
Hawa PSG wameshaelekea kibla.
Barca alishinda 6-1 aiseeNakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani
Kaishaziua Chagua sasa Kati ya Simba na yanga unaenda wapi Kwa mudaKitendo cha Xavi kumtoa Lamine Yamal mapema vile sitokuja kumsamehe kamwe
View attachment 2966474
Ok nipo Man City kwa muda [emoji3526] sasa ole wake na wao wazingue
Nipo Bayern Munich kwasasa sitaki ujinga 😎Kaishaziua Chagua sasa Kati ya Simba na yanga unaenda wapi Kwa muda
Ukiwa shabiki wa barca ukose tuu furaha nikushangae.Nipo Bayern Munich kwasasa sitaki ujinga 😎
Sio kwa muda, mashabiki wa City wanajulikana ni mashabiki wa Messi na Barcelona. Pia ni mashabiki wa zamani wa Chelsea na Manchester unitedKitendo cha Xavi kumtoa Lamine Yamal mapema vile sitokuja kumsamehe kamwe
View attachment 2966474
Ok nipo Man City kwa muda [emoji3526] sasa ole wake na wao wazingue
Hao ndio wajinga Kwa Madrid ni Kama Liverpool na Atlético Madrid Tu.Nipo Bayern Munich kwasasa sitaki ujinga [emoji41]