FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo tumejinyakulia point 3 muhimu.

Jana Madrid kadondosha point kwa Espanyol.
 
Hey cules.

Leo tunakipiga na Rayo Vallecano.

Hii ni must win game hili tukae pale juu kwa goal difference.

Hope tutashinda kwa goli nyingi.
 
Hey cules.

Tunaweza kukutana na Benfica au PSG.
Sema wote wanafungika hao...na kwasabab ni UEFA champions league...basi najua tutakua serious na match...sema pia Barcelona tuna uzaifu flan hivi, kama wakishtuka basi match hizo zitakua ngumu
 
Sema wote wanafungika hao...na kwasabab ni UEFA champions league...basi najua tutakua serious na match...sema pia Barcelona tuna uzaifu flan hivi, kama wakishtuka basi match hizo zitakua ngumu
Kabisa wote tukotulia tunaweza kuwafunga.

Japo recently PSG nao wanakuja vizuri sio wa kuwachukulia poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…