FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

messi amesha toa nafasi 3 nyeupe lakini suarez na neymar wanafanya ujinga waoo
 
huyu refa vipi mpira hata dakika moja ya nyongeza na jamaa wanapoteza mda kwelii
 
neymar na suarez wametukosesha magoli ila 2nd wataipata gudi
 
kocha amtoe andriano amuingize alba na xiavi atoke aiingie mtumzima iniesta la si hivyo hawa jamaa watatukosesha ubingwa
 
sociedad wanacheza mtu kumi nyuma, wakiendelea hivi itabidi Messi a take matters in his own hands awafanye kitu mbaya kama alivyowafanya Bayern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…