kocha amtoe andriano amuingize alba na xiavi atoke aiingie mtumzima iniesta la si hivyo hawa jamaa watatukosesha ubingwa
Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewiSana Suarez...jamaa huwa anazingua wakati mwingine
Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewi
Hajaweza kujiamini bado,maana lile lilikuwa goal angelenga goalSio kuwa namlaumu ila anakosa nafasi za wazi kabisa...
Angalia kama ule mpira wa kichwa, kaishia kutoa pasi wakati alikuwa anaweza kufunga...