FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daah hili goli la pedro jamani unaweza kusema uchawi ni kama lile la suarez
 
Hapa mission accomplished,sasa ngoja tuhamie kwenye thread ya Madrid tumtazame Bale
 
Madrid washapigwa moja tayari mungu jaalia mechi imalize hivi
 
Real Madrid akipoteza hii mechi next game tukiweza kumfunga Atletico Madrid tutafikisha point 93 na kutangaza ubingwa. Sababu kwa point 85 madrid akishinda gemu mbili zilizobaki atafikisha point 91.
 
Hahahahahaha Refa kaona Real Madrid wanashindana kukosa magoli na kugongesha mwamba kaamua awasaidie kawapa penalt wamekosa tena. Finger crossed lets pray result ibaki hivihivi
 
nilitoka kidogo kuja nimekuta tayari 2 kule madrid

Madrid Wamepata penalty, daah Valencia wakiweza kung'ang'ania na kupata huu ushindi leo itakuwa ahueni kubwa sana kwa Barca
 
hahahahahaha refa kaona real madrid wanashindana kukosa magoli na kugongesha mwamba kaamua awasaidie kawapa penalt wamekosa tena. Finger crossed lets pray result ibaki hivihivi

leo rahaaaaaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…