FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Majaabu pekee tuliokua tunasubiri ni messi kufunga goli la ajabu. Sio juve kuisimamisha barca MSN lazima yake tu.
 
Pongezi za dhat zimfikie Enrique kwa kukipika kikosi mpaka kikaiva.
 
Europa Spain, Champion league Spain watu weweee weweee weweee!!!!!! Spain ndo bingwa lao
 
masikini mtu wangu messi haja score

Hata mimi nimeumia sana lakini hamna shida ameleta amsha amsha nzuri sana ingawaje alikabwa sana kikubwa malengo yametimia kombe limekuja Spain tena Camp Nou......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…