FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nipo apa ..sasa unanipeleka lini kwa arsenal?
Ndo ivyo nitafanyaje tena ujanja mfukoni
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwabl kuwa umejileta mwenyewe nimekusamehe ila siku nyingine usiwekeane ubishi na barca
 
goli la.mwisho alikuwa anatafutwa yeye ila alikuwa mbali

Loh!! Ulinichukia sana ndugu yangu mimi nilijua lazima kombe lije Spain ndo maana nikawa sina wasiwas wowote nikaamua kumfariji Mou
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwabl kuwa umejileta mwenyewe nimekusamehe ila siku nyingine usiwekeane ubishi na barca

Bora ata sasa yule mwenzako sijui atanisamehe sijui ndo pu.mb inanihusuuu....
 
Kuna mdau kwenye uzi wa Juve anadai leo Blatter hayupo kwenye tuzo za kutoa kombe hili je ni kweli wadau. Mbona kama nimemuona?

Kuna tukio naona Gerald Pique anakata nyavu za golini kwa mkasi.muda huu sijaelewa kwa nini!
 
Neymar's goal
 
Attachments

  • 1433624925037.jpg
    13.8 KB · Views: 164
  • 1433624938304.jpg
    8.3 KB · Views: 162
masikini mtu wangu messi haja score
goli la suarez ni baada ya kipa kutoa mchomo wake, kafanya kazi nzuri. hivi top scorer wanaangalia uwiano wa magoli na idadi ya mechi? maana messi, neymar nsa cr7 wote wana 10.
 
Kuna mdau kwenye uzi wa Juve anadai leo Blatter hayupo kwenye tuzo za kutoa kombe hili je ni kweli wadau. Mbona kama nimemuona?

Kuna tukio naona Gerald Pique anakata nyavu za golini kwa mkasi.muda huu sijaelewa kwa nini!

anafurahia tu mkuu ndio maana amekata nyavu,blatter hayupo
 
goli la suarez ni baada ya kipa kutoa mchomo wake, kafanya kazi nzuri. hivi top scorer wanaangalia uwiano wa magoli na idadi ya mechi? maana messi, neymar nsa cr7 wote wana 10.

Nafikiri huwa wanatoa kwa wote...

Otherwise wataangalia assists...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…