Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Ye aandike maumivu tu, unless aamue kujiunga na the wining team.
hivi Barcelona mna La Liga ngapi?
na je mna champions League ngapi?
hebu mfunge midomo basi lol
namtamani sana huyu dogo cha msng wangempeleka marekan.tuanzage muonahuyu dogo ndio atakuja kuchukua nafasi ya messi anaitwa hilalovic
View attachment 267847
barcelona tuna la liga 23 na uefa 5 vp wewe mwenye seria a 17 uliyezidiwa had na inter huyo juve ndio usiseme maana yy ana 30
hivi Barcelona mna La Liga ngapi?
na je mna champions League ngapi?
hebu mfunge midomo basi lol
Ulikuwa wapi jamani?? Safi sana hayo si ndio maneno.
niko mamaa huyo Gang Chomba hana jipya mimi namshangaa anavyotapatapa wakat timu yake imenusurika kushuka daraja
Sasa ndio stress zake anamalizia kwangu!!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha si unajua hiko.kbabu enz za ujana wake kilikulia jela sasa karud mv tyar hvo ana hasira na warembo hvo mzoee
Oooooh!! Basi now nitakuwa nampuuza tu
Casilas vs Xavi goodbyes, kweli Madrid wasahaulifu sana. Barca itabaki kua timu inayopendwa hata na wachezaji wa timu pinzani.
Sasa ndio stress zake anamalizia kwangu!!
hana jipya huyo timu yake chelsea na tushaipiga 5 mara 2 mara ya kwanza 26/05/1966 hapo tuliipiga 5-0 na mwaka 2000 tukaipiga 5-1 na bado siku 10.tuipige tena 5 huko marekani. SISI NDIO BARCA KOMESHA YA CLUB ZOOOOTE DUNIANIJamani Ntuzu acha dhambi, ndio nini kunifanyia messi wangu hivyo!! Nitakununia!
hana jipya huyo timu yake chelsea na tushaipiga 5 mara 2 mara ya kwanza 26/05/1966 hapo tuliipiga 5-0 na mwaka 2000 tukaipiga 5-1 na bado siku 10.tuipige tena 5 huko marekani. SISI NDIO BARCA KOMESHA YA CLUB ZOOOOTE DUNIANI
La liga el clasico itafanyika tarehe 8 november pia ikumbukwe mara ya mwisho timu hiz kukutana barcelona iliondoka na ushindi wa goli 2-1 pia ushindi mkubwa kwa timu hizi ni 16-0 mwaka 1926 ambapo barca alimgalagaza madrid kama mtoto mdogo ingawaje ilikuwa friend game