daaah everlink mbona sikuelewi sister leo huku kesho kule hebu tupe msimamo wako pnc na broo aleyn hebu nisaidieni kuhusu dada eva
hahahaaaa eva aisee sawa ila pnc kafungua group kule imekua shedah ila usitie wasi jukwaa tupo nalo kwa saivi hakuna habari mpya tunasubiri tuu ligi zianzeBarca ni chama kubwa sana msilisuse jukwaa hivi bana.....Mimi napita kuwachokoza mje msikazanie wozap tu na huku mje kuchangamsha, huku ndo kumbukumbu nzuri hata vizazi vijavyo vitasoma hizi Habari njema za Barca.
hahahaaaa eva aisee sawa ila pnc kafungua group kule imekua shedah ila usitie wasi jukwaa tupo nalo kwa saivi hakuna habari mpya tunasubiri tuu ligi zianze
Mwambie pnc afanye kuni add aseee
sumbai wangu hana shida dearNtakusemea kwa shemeji
Nilimuuliza swali hata hakunijibu
Napita kusalimia tu utanikuta nyumbani Anfild
Baby ulipotelea wapi?
daaah everlink mbona sikuelewi sister leo huku kesho kule hebu tupe msimamo wako pnc na broo aleyn hebu nisaidieni kuhusu dada eva
ever hatufai kabisaaaa
kweli wee ni shabiki wa kweli wa barca unanipa njia panda ina maana siku tukikutana na man u sio mwenzetu kabisaa View attachment 272975
Acha fitina wewe......
Barca ni chama kubwa sana msilisuse jukwaa hivi bana.....Mimi napita kuwachokoza mje msikazanie wozap tu na huku mje kuchangamsha, huku ndo kumbukumbu nzuri hata vizazi vijavyo vitasoma hizi Habari njema za Barca.
hahahaaaa eva aisee sawa ila pnc kafungua group kule imekua shedah ila usitie wasi jukwaa tupo nalo kwa saivi hakuna habari mpya tunasubiri tuu ligi zianze
Siku timu zangu pendwa zikikutana Usikonde kabisa nakuwa mpole tu .........kweli wee ni shabiki wa kweli wa barca unanipa njia panda ina maana siku tukikutana na man u sio mwenzetu kabisaa View attachment 272975
Hujakosea kaka chebi mimi napenda mpira sana halafu sina ushabiki wa kivileee, Uingereza nipo na Man U, Spain Barca, Italy Juve, France nipo nipo tu ila zamani Marseille walinifurahisha sana, Ujerumani sijawahi kuipenda timu yoyote ile siwapend kabisa wajerumani ila huwa nafuatilia ligi yao kupata burudani tu.everlink ni mpenda football ndo maana anakesha na ligi zote pnc muachie aburudike na roho yake
ha ha ha ha haha ha ha ah ww sio mwana barca wala hatukutaki nfyuuuuuuu
fitina unazo ww usiyetulia
Yaani usivyonipenda ndo kila siku ntashinda humu na mlivyo Wavivu wa kuripot Habari zenu ntakuwa ndo reporter wenu maarufu kama msimu uliopita.......I like Barca but I love Man U.....
nfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuYaani usivyonipenda ndo kila siku ntashinda humu na mlivyo Wavivu wa kuripot Habari zenu ntakuwa ndo reporter wenu maarufu kama msimu uliopita.......I like Barca but I love Man U.....