FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Mkuu, hii umeitoa kwenye website ya BBC (Live text)
 
...Icadon upo????????? 🙂
 
Icadon leo nguvu ipo ghafla mpaka sasa jamvini?! Ndo mpira lakini, Barca deserved it for sure.
 

Mbu!

Mambo yamekuwa si mambo kwa Man Utd leo, imekuwa kuchezewa tu.

I'm happy for Barca,ushindi mnono wamepata..

Atleast final tumeiona kama last year na bado wanang'ara!!
 
Hahahaha,

Nimeganda tuuuuuuuu... Poleni jamani! LoL, hakuna malalamiko naamini
 
Icadon leo nguvu ipo ghafla mpaka sasa jamvini?! Ndo mpira lakini, Barca deserved it for sure.

Kwenye finals kuna kushinda na kushindwa, nilikubali tangu kipindi cha pili kinaanza kuwa tumekuwa outplayed.
 
I really know how it feels kama wewe wakati ule..Man Utd bado wapo juu na nimekubali tumefungwa maana Barca wamecheza bwana na wanastahili kombe..
Congrats Barca

yap, leo mlizidiwa sana mpaka aibu jamani duuh!... (kipindi cha pili) hata shuti moja kwa golikipa wa Barca ?
 
"tHE MOON MAY BE OUT IN ROME........ BUT ITS A SUNNY NIGHT FOR BARCA IN ROME" FOOTBAL PUNDIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…