FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jana best yangu acha michepuko yangu imenipa raha,ila Nyumba kubwa raha zaidi mpka basiii , Juve raha,Barca raha ila Man U raha zaidiiiiiiiiiiii mwaa !!!

Team juventus hoyeeeeee. Man u juuu
Aunt LENK mmmwah
 
Barcelona will ask ESP federation to register Arda Turan, to replace Rafinha. They will also ask Fifa to authorize the registration.

note: liga teams can register a player outside normal transfer windows to replace a player who is injured for 5+ months, and can only play la liga
 

habari njema tukikubaliwa
 
Viva Barcelona leo tena miamba ya Catalonia Ipo uwanjani dhidi ya Celta Vigo saa 3:00 Usiku
 
Nitakuwa siwapi picha na sireport humu wewe endelea kuniita msagasumu wakati mimi Barca ni moyo wangu Man U ni Roho yangu.
nimecheki mechi ya jana naona mtakuwa na kazi rahisi sana kwa wolfburg next week.
 
ha ha ha ha ha ha ha hainiingii akilini Devil na Sir God wap na wap

Nyie ni kina sir God? Makubwa? Wakati Barca ni kina makal.. Red devils ni watu tu waliwapa hilo jina maana kila timu uliyokuwa inakutana nayo ilikuwa ni kichapo kwa kwenda mbele wakawafananisha na shetani coz hana huruma ukiingia kwenye 18 zake lazima ulie .
 

ha ha ha ha ha yan wewe Manchester umeanza shabikia mwaka juz Hv wajua kuwa man u walikuwa wanavaa mashat ya kaniki. na sio tshet enzi hzo kabla hawajawa wekundu Hvyo kaa kimya wewe wakat hujazaliwa mimi ndio nilianza shabikia mpira 1980 kipind Maradona anatua Fc Barcelona
 
PNC 1 bana story za vijiweni zitakuua hahahhahaahah!!!!! Makal....... ila siyo inshu mimi nazipenda tu huku red devils huku makal......hahhahaha wewe katoto mkubwa huwa hajisifiii ni mkubwa hata siku moja maana ana hofu anaona ndo vile siku za kuukata zimekaribia......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…