Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
mkuu hawa jamaa nilijua watakuwa wagumu, walianza ligi kwa kasi. kipa wao kasave michomo mingi sana.Bora siasa kuliko soka
mi ngoja niikaroge madrid vs bilbaoAcha tu best hii aibuuuu!!!! Ngoja nimalize kibarua changu huku kwingine .
mi ngoja niikaroge madrid vs bilbao
2:0 ila tunaweza Barcelona tukikaza
Daaaaah yani tumefungwa had na wachezaj wenye majina kwenye makalio badala ya mgongoni
Updates plllllzzz
Bora siasa kuliko soka
mkuu hawa jamaa nilijua watakuwa wagumu, walianza ligi kwa kasi. kipa wao kasave michomo mingi sana.
Updates plllllzzz
Full Time : Celta vigo 4 - 1 Barcelona
63' Mins : Athletic Bilbao 0 - 1 Real Madrid
63' Mins : Manchester united 2 - 0 Ipswich Town
78' Mins : Totenham 1 - 2 Arsenal
73' Mins : Chelsea 3 - 1 Walsall
Roho yako nyeupeeeee