tehe teeh shem wee acha ulisahwahi kuona mtu unashangilia kimoyo moyo? ila lile goli la messi nilirusha ngumi hewani......kujifanya nimechukia.....Mzee inasemekana ulikuwa umezama maeneo kwa dakika zote 90 za mchezo!
Hivi jamani mwanakijiji chama gani? kwenye nba playoff hayumo,motorGP hayumo,simba na yanga hayumo,EPL hayumo..huku hayumo......
Hivi jamani mwanakijiji chama gani? kwenye nba playoff hayumo,motorGP hayumo,simba na yanga hayumo,EPL hayumo..huku hayumo......
tehe tehe tehe yaani leo nimecheka sana siajwahi kuangalia mechi katika wakati mgumu kama leo......nani aliwahi kwenda jukwaa la yanga na yeye simba alafu simba ikafunga?Man U ikifungwa Yo Yo atanyimwa unyumba kwa siku kadhaa.
...ohoooooo, yale yale kama mzee masa,....
Mpwa, tafadhali muangalie BJ bana,...anahuzunika sana masikini.
Ahsante mkuu, pressure inapanda pressure inashuka....unajua leo ndio mwisho wa kutumia hili jina vile vile.. Tukishinda najiita Alex Ferguson lol.
May the best team win [Glory Glory Man United]
Messi ni mdogo kwa umbo lakini aliweza kuupata mpira wa cross ya Xavi na kugonga kwa kichwa kufunga the killer goal na hii ndio ilikuwa ni "magical moment".
Mbu!
Mambo yamekuwa si mambo kwa Man Utd leo, imekuwa kuchezewa tu.
I'm happy for Barca,ushindi mnono wamepata..
Atleast final tumeiona kama last year na bado wanang'ara!!
Mi niliwambia Icadon mapema hivi:Tuache utani man u mlifikiria mtachukua kombe leo?
... Hakuna cha matuta... Tena, nitakuwepo full time. Live ya ukweli, picha za magoli mtakayofungwa nitazisaka kama nini vile, mpaka ulie!
Hehehehehehe