FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FT 2-0. Neymar anajituma kwa nguvu na akili, bravo!. nimemmiss Messi, maana scoreboard ingekuwa inasoma 6-0
 
safi sana NS. ila leo nilikuwa naangalia viberenge vikiongozwa na kocha mlafi wa magoli katika kuidestroy arsenal.
 
Humu ndani wengi walikuwa ni Ukawa matokeo yake wamevunjika moyo hata wamesahau timu Yao, wapi PNC 1 chebi daddy Aleyn jackline 1 zamarid kwani nawe ulikuwa timu mabadiliko? safi Red Giant ila uwe unamalizia basi kutoa updates....lol
 
Last edited by a moderator:
Humu ndani wengi walikuwa ni Ukawa matokeo yake wamevunjika moyo hata wamesahau timu Yao, wapi PNC 1 chebi daddy Aleyn jackline 1 zamarid kwani nawe ulikuwa timu mabadiliko? safi Red Giant ila uwe unamalizia basi kutoa updates....lol
sijui watu wamezira baada ya kirikuu kuumia. tukutane jumapili saa 12 jioni tunamkaribisha villareal home sitawaangusha, ntakuwa mtumishi wenu.

sijui watu wamezira baada ya kirikuu kuumia. tukutane jumapili saa 12 jioni tunamkaribisha villareal home sitawaangusha, ntakuwa mtumishi wenu.

Mimi nitakuwa cameraman tuombe uzima tu
 
Humu ndani wengi walikuwa ni Ukawa matokeo yake wamevunjika moyo hata wamesahau timu Yao, wapi PNC 1 chebi daddy Aleyn jackline 1 zamarid kwani nawe ulikuwa timu mabadiliko? safi Red Giant ila uwe unamalizia basi kutoa updates....lol
maumivu ya UKAWA,sasa yamekwisha rasmi-mechi ya kesho nitai analyse head to toe in every aspect-Shukurani za pekee zimwendee Neymar na Suarez kwa kulibeba jahazi in the absence of the one and only king Messi
 
Hivi ukimuondoa Messi na Ronaldo katika equation-je on current form who is the best footballer on the planet???
 
Villarreal wanaleta ujeuri,but its just a matter of time
 
Neymar hana mpinzani-Messi akirudi i fear the worst kwa opposing team zote- Barca are now in fullgear,clicking into shape ready for Real Madrid
 
Visca el Barca....
 
Attachments

  • 1447059878114.jpg
    19.9 KB · Views: 71
  • 1447059910591.jpg
    21.1 KB · Views: 72
  • 1447059925519.jpg
    18.6 KB · Views: 75
  • 1447059939969.jpg
    28.6 KB · Views: 72
  • 1447059962659.jpg
    45.6 KB · Views: 74
  • 1447059989669.jpg
    60.5 KB · Views: 74
  • 1447060008809.jpg
    66.5 KB · Views: 73
  • 1447060035619.jpg
    93.6 KB · Views: 75
  • 1447060060779.jpg
    37.5 KB · Views: 74
  • 1447060088729.jpg
    70.5 KB · Views: 74
  • 1447060111689.jpg
    19.9 KB · Views: 75
  • 1447060171590.jpg
    98.7 KB · Views: 74
  • 1447060196809.jpg
    77.3 KB · Views: 74
Mambo ya Neymar
 
Attachments

  • 1447060259318.jpg
    38.8 KB · Views: 71
It was a Neymar Suarez .......#VamosBarca
 
Attachments

  • 1447060371770.jpg
    23.9 KB · Views: 73
  • 1447060399850.jpg
    36.1 KB · Views: 73
Kwangu mimi ni Neymar.
You are damn right. Gazette la El Mundo,limemshauri Benetez ai flood midfield ya R Madrid na wachezaji kibao siku ya el classico kuzuia mipira isimfikie Neymar na Suarez anything else itakuwa majanga
 
Wakuu, hivi Messi atakuwepo kwenye El Classico au lah!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…