FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

You are damn right. Gazette la El Mundo,limemshauri Benetez ai flood midfield ya R Madrid na wachezaji kibao siku ya el classico kuzuia mipira isimfikie Neymar na Suarez anything else itakuwa majanga
uzuri wa neyma naye huwa anatafuta mpira na kupangua madifenda. hasubiri kulishwa.
 
Wakuu, hivi Messi atakuwepo kwenye El Classico au lah!?
Nilitazama game la club bingwa Afrika-team ya Mazembe ilichukua cup,swali langu ni je hawa Mazembe wakipambanishwa na lets say Sunderland ya England in a two legged encounter home and away nani ataibuka mshindi????
 
tamaa kubwa ipo ya king kuwepo katika kikosi siku ya ell clasico
 
habari njema king leonel messi leo tayari ameshaanza rasmi mazoezi pamoja na rakitic nae wameanza kufanya mazoezi kwa ajili ya matayarisho na real madrid ma anti barca na anti messi wote wajitayarishe king is back
 
kwenye la liga msimu huumadrid wamefunga magoli 26 na kufungwa 7. sisi tumefunga 25 na kupigwa 12.
 


elclasico ya kwanza ya messi 2005. alitupia na kuassist 1 tukishinda 3-0. toka hapo kacheza elclasico 30 na kufunga magoli 21.
 
nacheki mechi ya harmburger na dortmund kama dessert, msosi kamili kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…