iniesta alihojiwa jana alisema Messi kwenye mazoezi yuko poa. kwahiyo kesho yupo ndani japo kuna uwezekano akaanzia bench..Benitez katangaza Ramos na Benzema kuanza kesho, sijajua kwa upande wetu Messi.
iniesta alihojiwa jana alisema Messi kwenye mazoezi yuko poa. kwahiyo kesho yupo ndani japo kuna uwezekano akaanzia bench..
The game is a joy to watch