FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Du.............
 
Attachments

  • 1448136260220.jpg
    11.7 KB · Views: 215
huyu munir sijui kocha kamuingiza kwa mantiki gani anatukosesha magoli ya wazi daaah
 
ilikua nataka historia ijirejee kama ya mourinho kuja la liga mechi ya kwanza na barca alikaribishwa 5 na hii ilikua zaid ya 5 ila munir ndo kaharibu kila kitu ila muhmu tumewaonyesha kua sisi ndio barca tunasaubiri tena camp nou tuwapige nje ndani visca barca
 
roho imeniuma sana kukosa hii mechi. nimetokasafari nikasema nidozi kidogo kujiweka fiti, si nikapitiliza. jumanne siyo mbali. tutakuwa tunamdunda ASRoma.
 
roho imeniuma sana kukosa hii mechi. nimetokasafari nikasema nidozi kidogo kujiweka fiti, si nikapitiliza. jumanne siyo mbali. tutakuwa tunamdunda ASRoma.

Weeeeee poyeeeee sana........furaha zimenizid mpaka nikakusahau.
 
huyo dogo munir angetolewa kwa mkopo kwenye vitimu vidogo anamakuzi bado.
 
roho imeniuma sana kukosa hii mechi. nimetokasafari nikasema nidozi kidogo kujiweka fiti, si nikapitiliza. jumanne siyo mbali. tutakuwa tunamdunda ASRoma.

Usijali mkuu kwa barca hii lazima wafe pale camp nou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…