FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kilichowakuta madrid hawakiamini ila wamejitia kusahau hawajui kua sisi kawaida yetu kuwapiga mourihno alipigwa mkono kwa 0 huyu rafa banitez kaonewa huruma kapigwa 4 munir alikua mchoyo alitaka na yee aweke historia kua kafunga katika clasico ndo maana magoli yalipungua
 
RealMadrid
pamojana
kuwa
nyumbani,
imekumbanana
kipigocha
mabao4-0
kutokakwa
wapinzani
wakehao
wakubwa
Barcelona.
Hasiraza
mashabikiwa
RealMadrid
sasa
zimemuangukia
Raiswaklabu
hiyo,
Florentino
Perezna
wanataka
ajiuzulu
kabisaaa.
Uamuzihuo
unatokanana
waokuamini
hawajibiki
ipasavyona
timuhiyo
imeingia
katika
matatizo
makubwaya
kushindwa
kuchezakwa
kiwangohuku
yeyeakiwa
kimya.
Mashabikihao
wanaona
wamepataaibu
kubwa,kwani
lichaya
kuchapwa
mabaohayo
manne,lakini
Barcelona
ndiyo
waliotawala
mchezowa
dakikazote
90hiyojana
huku
wakionyesha
sokala
kuvutiakweli
kweli.
Mashabiki
waliokuwa
uwanjani,
walikuwa
wakizomea
huku
wakiangalia
upande
aliokaaPerez
ambaye
walimuonyesha
wanataka
aachiengazi .
 

Munir Jana kaniboa sana
 

Na washukuru Messi kuanza sub
 

Andika vzr basi, heee
Barcelona were fantastic
 

Mkuu chebi hawa watoto watakuja kua wazuri hasa munir
 
Mkuu chebi hawa watoto watakuja kua wazuri hasa munir
Huyu Munir huwa namshangaa saa zingine- Barca wanafunga for fun bila panic-yeye akiwa na mpira anakuwa na haraka-inatakiwa awe cool na full focused.
 
Huyu Munir huwa namshangaa saa zingine- Barca wanafunga for fun bila panic-yeye akiwa na mpira anakuwa na haraka-inatakiwa awe cool na full focused.
kweli kabisa ila tusimlaumu sana age ndo inamsumbua hata tukimuangalia neymar nae mwanzoni alikua alifanya hivyo vitu na sasa naona ameanza kuelewa huyu munir na sergi robert na rafihna ni kizazi cha baadae #camp nou visca barca
 

Attachments

  • 2015-11-21_MADRID-BARCELONA_05-Optimized.v1448132217.JPG
    53.2 KB · Views: 91
huenda kibarua kikaota nyasi # rafa banitez baada ya kichapo cha 4 kwa mviringo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…