Sometimes football is not fair-Barca anashinda akiwa katika reverse gear-sasa akipandisha gear si itakuwa massacre
Safi saaaaanadk 75 neymar anakosa penati lakini adriano anamaliza 6-0
dzeko anatufunga dk ya 90. full time 6-1.
Barca goal mbili wameotea
Hii sio madrid,chelsea au man utd hii ni fc Barcelona more than a club.
mambo cute b!
Nahic utakuwa umekimbia.
Hebu angalia scoreboard sahiz tuone
Heshima kwa King messi