FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

timu imeshinda harafu inapigwa counter dk ya 85! hivi barca hawajuagi muda wa kupaki basi? ulafi wa magoli leo umetuponza.
 
yaani ipo haja timu ikisha shinda na dakika zikiwa zimebakia za mwisho basi bora ni kupaki basi ukizingatia zaidi timu kama valencia, sevila, celta vigo, hizi timu zinapocheza uwanjani kwao hua zinasumbua sana
 
tumepoteza magoli mingi sana leo beki ni tatizo sugu kwetu counta attack mchezaji mmoja anawapiga chenga pique na alba imeniuma lazima tatizo la beki lipatiwe mbadala labda ikifika january ban itakua imeisha coach atafute mbadala wa pique la si hivyo tukikutana na timu sumbufu basi watatupa shida sana tumeona leo valencia jinsi walivyocheza wamecheza kama style za mourihno kupaki bus na kufanya counter attack wakati zile dakika za 80 ilibidi timu isifanye mashambulizi kwa wingi alau ni kuumiliki mpira tu na kupoteza mda ingawa hiyo sio style ya barca ila ikibidi lazima ifanyike
lakini yote kabisa ndio mpira tupo juu kwa point 34 akifata atletico 32 madrid 30 na kizuri zaidi timu ambazo zinasumbua kama atletico, sevila , celta vigo, bilbao na madrid zote tumesha cheza nazo away zimebaki gem za home ambazo zote ni camp nou pale camp nou hua hatufanyi makosa visca barca visca catalunya
 
timu imeshinda harafu inapigwa counter dk ya 85! hivi barca hawajuagi muda wa kupaki basi? ulafi wa magoli leo umetuponza.

Valencia waliporudisha na Tv nilizima ,jana mchepuko umeniudhi sana matatizo Yale Yale kama big house....lol
 
Visca el Barca
 
mastalla, uwanjaa wa Valencia ni moja viwanja vinatisha sana kuchezea. kuta zimeinuka utasemaa mashabiki wanaikuangukia.
 
Goli la Suarez lilikuwa CLEAR OFFSIDE. Mnaitwa Fifalona for reasons.

 
Ni kweli hata yale manne ya elclassico yalikua off side sita za roma goli zote off side final na juve goli zote off side

Talking about a game. Jana mmebebwa. Mbeleko ya wazi wazi Barca fans should learn to accept the truth
 
Talking about a game. Jana mmebebwa. Mbeleko ya wazi wazi Barca fans should learn to accept the truth
hatuwezi kuwajibika kwa makosa ya waamuzi. tunachojua ni kwamba tulipiga kandanda safi naa timu yetu ni no1 duniani. haters mnatakiwa kujifunza kukubbali hilo.
 
Ni kweli hata yale manne ya elclassico yalikua off side sita za roma goli zote off side final na juve goli zote off side

huo mstari mweusi hauko sawa. kama una macho yanayoona vizuri check trend ya rangi za nyasi za rangi ilokolea na nyepesi, ala angalia mstari mweusi toka kwa beki mpaka alipo suarez utagungundua kwanini refa hakuinua kitambaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…